NewsVideo News

FAHAMU jinsi watu wanavyoingiza FEDHA kupitia CRYPTOCURRENCY/BLOCKCHAIN TECHNOLOGYHivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni (Cryptocurrency) kauli ambayo imepokelewa kwa furaha na wadau wake. Nazungumza na John Jockson pamoja n Gideon Odiki kuhusiana na hatua hiyo

source

Related Articles

48 Comments

  1. Ni interview tu wanaongea lakini ukiwatafuta kwa akaunti zao hawajibu tena kiustarabu tu ukiwauliza kuhusu bitcoin hasa huyo john jackson haina haja wao kutoa namba au kaunti zao ikiwa ukiwatafuta ili ujue progrmu za bitcoin hawajibu

  2. Wekeza kwenye biashara uliyoilewa mzunguko wake, hakikisha kuna usalama wa fedha yako, yaani kwamba endapo kukitokea shida kwenye uwekezaji wako unamuona nani? Mfano ukinunua hatifungani bank unajua moja kwa moja bank wanawajibika. Je wana makazi yanayojulikana( physical location)? Je wanalipa kodi? Je wamesajiliwa rasmi na mamlaka husika za kiserikali?

    Hata hivyo, tukumbuke kupiga kazi

  3. Pesa inapatikanaje ? Hapo ndio utajua mnaingizwa chaka. Rudia hii video hata x 100 hawatakufafanulia ni vp utapata pesa. Watakuzungusha na misemo mingi na mifano tu lakini hawana majibu. Ni Matapeli hawa. Bundala waombe watu radhi kwa kuwatangazisha hawa watu katika Online tv yako. 😃😃😃😃😃

  4. Haieleweki na haitokaa ieleweke kwani hii ni taasisi ya …. 😂 ni ujanja ujanja fulani hivi wa kuongea harakaharaka na kutupia vijineno vya kiingereza halafu unawachwa kiaina kama umeelewa kumbe hujaelewa chochote. Hapa ni mjini.

  5. Hapo katika faida mmeongelea habari za kusafiri na kuingia sehemu ambazo hamjaingia, sasa hizo ni personal, tunataka faida ambazo anaweza pata kila mtu. Kuhusu kufundisha sio kila mtu atafundisha. Hiyo 30 mpaka 8000 je ni yauhakika au bahati na sibu?… Nashauri kabla ya kujiunga hakikisha unajua ukweli na unaelimu. Watu wanapigia sana promo kuliko kusema ukweli… hasara zipo nyingi ila hamjaziongelea kwa ukubwa wake ili watu wachukue tahadhari.

  6. Hahahahahah eti kwa level ya serikari wangebase kwenye blockchain kwanza, uo Ni ujanja ujanja wanaleta, crypto currency (eg Bitcoin) Iz like app ndani ya blockchain but imepata umaarufu zaidi na Sasa ndo inaangaziwa zaidi duniani Sasa anavyosema BOT isiiangazie zaidi ni upuuzi mtupu! kwa Sasa hapa nchini mtu ukipigwa katika io biashara hakuna mahali pakwenda

  7. AMazing videos great content. thanks A lot i always apprecite your videos.. It’s a must to build multiple streams of income especially in this period of the pandemic. Also, have in mind we don’t know if or when another pandemic can happen again. So now is really the best time to start pushing in, no one can fire you from your own business and well your we all know how quick they can get rid of you. If you have to work to pay bills by all means do what you have to do but make sure you get your priorities together. I've been doing that by investing in the stocks, bitcoin and financial market and I'm grateful to say I've earned a lot so far working with Mr NOLASCO KANIEL's. through his registered investment. During my first 5 weeks I was able to grow my portfolio from 1.1btc to 9.2btc which no doubt you will agree is a very good profits. Just do something that will make you money while you sleep, no matter how little. The pandemic has been a perfect eye-opener for us all to really see how life can be without your usual income stream. Reach him via telegram @Kanielnolasco12 lets make the best of whatever we can.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button